sw_act_text_ulb/10/25.txt

1 line
189 B
Plaintext

\v 25 Wakati Petro akiingia ndani, Kornelio akamlaki na kuinama hadi chini kwenye miguu yake kwa kumheshimu. \v 26 Lakini Petro akamwinua na kusema "Simama; mimi mwenyewe pia ni mwanadamu."