sw_act_text_ulb/13/16.txt

1 line
336 B
Plaintext

\v 16 Kwa hiyo Paulo alisimama na kuwapungia mkono; alisema, "Wanaume wa Israeli na enyi mnao mtii Mungu, sikilizeni. \v 17 Mungu wa hawa watu wa Israeli aliwainuaua baba zetu na kuwafanya watu wengi walipokaa katika nchi ya Misri, na kwa mkono wake ulioinuliwa aliwaongoza nje yake. \v 18 Kwa miaka arobaini aliwavumilia katika jangwa.