sw_act_text_ulb/26/15.txt

6 lines
1.3 KiB
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 15 Ndipo nikasema, 'Wewe ni nani, Bwana?' Bwana akajibu, 'Mimi ni Yesu ambaye unanitesa. \v 16 Sasa inuka usimame kwa miguu yako; sababu kwa kusudi hili mimi nimeonekana kwako, kukuteua kuwa mtumishi na shahidi juu ya mambo ambayo sasa unajua kuhusu mimi na mambo nitakayokuonyesha baadaye; \v 17 na Nitakuokoa kutoka kwa watu na watu wa Mataifa ambapo ninakutuma, \v 18 kufungua macho yao na kuwatoa gizani kwenda kwenye mwanga na kutoka katika utawala wa shetani wamgeukie Mungu, ili wapate kupokea kutoka kwa Mungu msamaha wa dhambi na urithi ambao nimewapa wale niliowaweka wakfu kwa imani ndani yangu.
=======
\v 15 Ndipo nikasema, 'Wewe ni nani, Bwana?' Bwana akajibu, 'Mimi ni Yesu ambaye unanitesa. \v 16 Sasa inuka usimame kwa miguu yako; sababu kwa kusudi hili mimi nimeonekana kwako, nimekuteua kuwa mtumishi na shahidi juu ya mambo ambayo unajua kuhusu mimi sasa na mambo nitakayokuonyesha baadaye; \v 17 na Nitakuokoa kutoka kwa watu na watu wa Mataifa ambapo ninakutuma, \v 18 kufungua macho yao na kuwatoa gizani kwenda kwenye mwanga na kutoka kwenye nguvu za shetani wamgeukie Mungu; ili wapate kupokea kutoka kwa Mungu msamaha wa dhambi na urithi ambao nimewapa wale niliowatakasa kwa imani iliyo kwangu.
>>>>>>> 641795131ed10711930bea4f72ce83f81dc70d3c