sw_act_text_ulb/24/17.txt

6 lines
765 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 17 Sasa Baada ya miaka mingi nimekuja kuleta msaada kwa taifa langu na kutoa sadaka. \v 18 Nilipofanya hivi, Wayahudi fulani wa Asia wakanikuta ndani ya sherehe ya utakaso ndani ya hekalu, bila kundi la watu wala ghasia. \v 19 Watu hawa ambao imewapasa kuwapo mbele yako sasa hivi na waseme kile walichonacho juu yangu kama wana neno lo lote.
=======
\v 17 Sasa Baada ya miaka mingi nilikuja kuleta msaada kwa taifa langu na zawadi ya fedha. \v 18 Nilipofanya hivi, Wayahudi fulani wa Asia wakanikuta ndani ya sherehe ya utakaso ndani ya hekalu, bila kundi la watu wala ghasia. \v 19 Watu hawa ambao imewapasa kuwapo mbele yako sasa hivi na waseme kile walichonacho juu yangu kama wana neno lo lote.
>>>>>>> 641795131ed10711930bea4f72ce83f81dc70d3c