sw_act_text_ulb/22/30.txt

1 line
236 B
Plaintext

\v 30 Siku iliyofuata, jemedari mkuu alitaka kujua ukweli kuhusu mashtaka ya Wayahudi dhidi ya Paulo. Hivyo akamfungua vifungo vyake na akawaamuru wakuu wa makuhani na baraza lote wakutane. Akamleta Paulo chini, na kumweka katikati yao.