sw_act_text_ulb/22/27.txt

1 line
407 B
Plaintext

\v 27 Jemedari mkuu akaja na kumwambia, "Niambie, je wewe ni raia wa Rumi?" Paulo akasema, "Ndiyo." \v 28 Jemedari akamjibu, "Ni kupitia kiasi kikubwa cha pesa ndipo nilipata uraia." Lakini Paulo akamwambia, "Mimi ni mrumi wa kuzaliwa." \v 29 Basi wale waliokuwa tayari kwenda kumuuliza wakaondoka na kumwacha wakati huo huo. Na jemedari naye akaogopa, alipojua kuwa Paulo ni Mrumi, na kwa sababu amemfunga.