sw_act_text_ulb/22/22.txt

6 lines
863 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 22 Watu wakamruhusu aongee juu ya neno hili. Lakini baadaye walipaza sauti na kusema, "mwondoe mtu huyu katika nchi, kwa sababu sio sahihi kwake kuishi." \v 23 Walipokuwa wakipiga kelele, na kutupa mavazi yao na kutupa mavumbi juu, \v 24 jemedari mkuu akaamuru Paulo aletwe ngomeni. Akaamuru aulizwe huku anapigwa mijeledi, ili yeye mwenyewe ajue kwa nini walikuwa wanapiga kelele dhidi yake namna ile.
=======
\v 22 Walimsikiliza hadi aliposemamaneno hayo Lakini baadaye walipaza sauti na kusema, "mwondoe mtu huyu katika nchi: kwa sababu sio sahihi aishi." \v 23 Walipokuwa wakipaza sauti, na kutupa mavazi yao na kutupa mavumbi juu, \v 24 jemedari mkuu akaamuru Paulo aletwe ngomeni. Akaamuru aulizwe huku anapigwa mijeledi, ili yeye mwenyewe ajue kwa nini walikuwa wanampigia kelele namna ile.
>>>>>>> 641795131ed10711930bea4f72ce83f81dc70d3c