sw_act_text_ulb/22/06.txt

6 lines
714 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 6 Ilitokea kwamba pale nilipokua nikisafiri nakaribia Dameski, majira ya mchana ghafla nuru kuu ikatokea mbinguni ikaanza kuniangaza. \v 7 Nikaanguka chini na kusikia sauti ikiniambia, 'Sauli, Sauli kwanini unaniudhi?' \v 8 Nikajibu, 'wewe ni nani, Bwana?' Akaniambia, 'Mimi ni Yesu wa Nazareti, ambaye wewe unaniudhi.'
=======
\v 6 Ilitokea kwamba pale nilipokua nikisafiri nakaribia Dameski, majira ya mchana ghafla nuru kuu ikatokea mbinguni ikaanza kuniangaza. \v 7 Nikaanguka chini na kusikia sauti ikiniambia, 'Sauli, Sauli kwanini unaniudhi?' \v 8 Nikajibu, 'wewe ni nani, Bwana?' Akaniambia, 'Mini ni Yesu Mnazareti, ambaye wewe unanitesa.'
>>>>>>> 641795131ed10711930bea4f72ce83f81dc70d3c