sw_act_text_ulb/15/33.txt

1 line
288 B
Plaintext

\v 33 Baada ya kukaa muda fulani huko, walisindikizwa mbali na kuagwa kwa amani kutoka kwa ndugu kwa wale waliowatuma. \v 34 [ Lakini ilionekana vyema Sila kubaki huko ] \v 35 Lakini Paulo na wengine walikaa Antiokia pamoja na wengine wengi, ambapo walifundisha na kuhubiri neno la Bwana.