sw_act_text_ulb/15/27.txt

1 line
392 B
Plaintext

\v 27 Kwa hiyo tumemtuma Yuda na Sila ambao watawaambia mambo yayo hayo kwa maneno yao. \v 28 Kwa kuwa ilionekana vyema kwa Roho Mtakatifu na kwetu, kutoweka juu yenu mzigo mkubwa kuliko mambo haya yaliyo ya lazima: \v 29 kwamba mjizuie kutoka kwenye vitu vitolewavyo sadaka kwa sanamu, damu, vitu vya kunyongwa, na uasherati. Kama mtajiepusha na vitu hivi, mtafanya vyema kwenu. Kwa herini."