sw_act_text_ulb/15/15.txt

1 line
384 B
Plaintext

\v 15 Maneno ya manabii yanakubaliana na hili kama lilivyoandikwa. \v 16 'Baada ya mambo haya nitarudi na kuijenga tena hema ya Daudi, iliyoanguka chini; nitainua na kuhuisha uhararibifu wake, \v 17 ili kwamba watu waliobaki wamtafute Bwana, pamoja na watu wa Mataifa walioitwa kwa jina langu.' \v 18 Hivi ndivyo asemavyo Bwana aliyefanya mambo haya yajulikanayo tangu enzi za zamani.