sw_act_text_ulb/15/10.txt

1 line
220 B
Plaintext

\v 10 Kwa hiyo, kwa nini mnamjaribu Mungu kwamba muweke nira juu ya shingo za wanafunzi ambayo hata baba zetu wala sisi hatukuweza kustahimili? \v 11 Lakini twaamini kwamba tutaokolewa kwa neema ya Bwana Yesu, kama wao."