sw_act_text_ulb/15/07.txt

1 line
364 B
Plaintext

\v 7 Baada ya majadiliano mengi, Petro alisimama na kusema kwao, "Ndugu mnajua kwamba zamani Mungualichangua kati yenu, hiyo kwa mdomo wangu Mataifa wasikie neno la injili, na kuamini. \v 8 Mungu, anayefahamu mioyo, ameshuhudia kwao, kwa kuwapa Roho mtakatifu, kama alivyofanya kwetu; \v 9 na hakufanya ubaguzi kati yetu na wao, akiifanya mioyo yao safi kwa imani.