sw_act_text_ulb/15/03.txt

1 line
298 B
Plaintext

\v 3 Kwa hiyo, kwa kutumwa kwao na kanisa, walipitia Foinike na Samaria wakitangaza kugeuzwa nia kwa watu wa Mataifa. Walileta furaha kuu kwa ndugu wote, \v 4 Walipokuja Yerusalem, walikaribishwa na Kanisa na mitume na wazee, na waliwasilisha taarifa ya mambo yote ambayo Mungu amefanya pamoja nao.