sw_act_text_ulb/14/27.txt

1 line
220 B
Plaintext

\v 27 Walipofika huko Antiokia, na kulikusanya kanisa pamoja, wakatoa taarifa ya mambo ambayo Mungu amefanya kwao, na jinsi alivyowafungulia mlango wa imani kwa watu wa Mataifa. \v 28 Walikaa kwa muda mrefu na wanafunzi.