sw_act_text_ulb/14/19.txt

1 line
294 B
Plaintext

\v 19 Lakini baadhi ya Wayahudi kutoka Antiokia na Ikonio walikuja kuushawishi umati. Wakampiga mawe Paulo na kumburuta hadi nje ya mji, wakidhani alikuwa amekufa. \v 20 Hata hivyo wanafunzi walikuwa wamesimama karibu naye, aliamka, na akaingia mjini. Siku inayofuata, alienda Derbe na Barnaba.