1 line
322 B
Plaintext
1 line
322 B
Plaintext
\v 5 Kwa pamoja watu wa mataifa na Wayahudi (pamoja na viongozi wao) walifanya jaribio la kuwatenda vibaya na kuwaponda kwa mawe Paulo na Barnaba, \v 6 Lakini mara tu baada ya kulitambua hilo, walikimbilia katika miji ya Likaonia, Listra na Derbe, na maeneo yanayozunguka pale, \v 7 na huko waliendelea kuihubiri injili. |