sw_act_text_ulb/14/01.txt

1 line
290 B
Plaintext

\c 14 \v 1 Ikatokea ndani ya Ikonio kwamba Paulo na Barnaba waliingia pamoja ndani ya sinagogi la Wayahudi nakuongea namna ambayo kundi kubwa la watu Wayahudi na Wayunani waliamini. \v 2 Lakini wayahudi wasiotii waliwachochea fikira za watu wa mataifa na kuwatia uchungu dhidi ya ndugu zao.