1 line
377 B
Plaintext
1 line
377 B
Plaintext
\v 27 Wakati Petro akiwa anaongea naye, alienda ndani akakuta watu wengi wamekusanyika pamoja. \v 28 Akawaambia, "Ninyi wenyewe mnajua kuwa si halali kwa Myahudi kushirikiana na au kumtembelea mgeni. Lakini Mungu amenionyesha mimi kuwa sipaswi kumwita mtu yeyote najisi au mchafu. \v 29 Na ndiyo maana nimekuja bila kubishana, nilipoitwa. Hivyo nauliza wewe kwa nini uliinita." |