1 line
321 B
Plaintext
1 line
321 B
Plaintext
\v 17 Na wakati Petro akiwa katika hali ya kuchanganyikiwa juu ya hayo maono aliyokuwa ameyaona yanamaanisha nini, Tazama, watu waliokuwa wametumwa na Kornelio wakasimama mbele ya lango, baada ya kuuliza njia ya kwenda kwenye nyumba. \v 18 Waliita na kuuliza kama Simoni ambaye pia aliitwa Petro kama alikuwa anakaa pale. |