sw_act_text_ulb/10/07.txt

1 line
238 B
Plaintext

\v 7 Baada ya Malaika aliyekuwa akisema naye kuondoka, Kornelio akawaita wawili wa watumishi wa nyumbani mwake, na askari mcha Mungu kutoka miongoni mwao waliokuwa wanamtumikia. \v 8 Kornelio aliwaambia yote yaliyotokea na akawatuma Yafa.