sw_act_text_ulb/09/40.txt

1 line
477 B
Plaintext

\v 40 Petro akawatoa wote nje ya chumba, akapiga magoti akaomba, kisha akaugekia mwili, akasema, "Tabitha, amka". Basi akafungua macho yake na alipomwona Petro akaketi. \v 41 Kisha Petro akampa mkono wake akamwinua, na alipowaita watu watakatifu wa mungu na wajane, alimwasilisha kwao akiwa hai \v 42 Jambo hili likajulikana Yafa yote, na watu wengi wakamwamini Bwana. \v 43 Ilitokea hivyo Petro akakaa siku nyingi huko Yafa na mtu mmjo jina lake Simoni, mtengenezaji wa ngozi.