sw_act_text_ulb/09/36.txt

1 line
275 B
Plaintext

\v 36 Sasa palikuwa na mwanafunzi Yafa aitwaye Tabitha,( ambalo lilitafsiriwa kama "Dorcas") Huyu mwanamke alijaa kazi njema na matendo ya huruma aliyowatendea maskini. \v 37 Ilitokea katika siku hizo aliugua na akafa; walipomsafisha, walimpandisha chumba cha juu na kumlaza.