sw_act_text_ulb/09/33.txt

1 line
303 B
Plaintext

\v 33 Akamuona huko mtu fulani jina lake Ainea, aliyekuwa kitandani kwa miaka minane; maana alikuwa amepooza. \v 34 Petro akamwambia, "Ainea, Yesu Kristo anakuponya; Inuka na utandike kitanda chako," na mara akainuka. \v 35 hivyo watu wote waliokaa Lida na Sharoni wakamwona mtu huyo, wakamgeukia Bwana.