sw_act_text_ulb/09/28.txt

1 line
266 B
Plaintext

\v 28 Alikuwa pamoja nao akiingia na kutoka Yerusalemu. Akinena kwa ujasiri kwa jina la Bwana Yesu, \v 29 na akajadiliana na Wayahudi wa Kiyunani lakini wakijaribu mara kwa mara kumuua. \v 30 Wakati ndugu walipojua jambo hilo, wakamleta Kaisaria, na kumpeleke Tarso.