sw_act_text_ulb/09/26.txt

1 line
342 B
Plaintext

\v 26 Na Sauli alipofika Yerusalemu, alijaribu kujiunga na wanafunzi lakini walikuwa wakimuogopa, wasisadiki kuwa yeye ni mwanafunzi. \v 27 Lakini Barnaba akamchukua na kumpeleka kwa mitume, Na akawaeleza jinsi Sauli alivyomuona Bwana njiani na Bwana alivyozungumza naye, na jinsi Sauli alivyohubiri kwa ujasiri kwa jina la Yesu huko Dameski.