sw_act_text_ulb/09/23.txt

1 line
265 B
Plaintext

\v 23 Baada ya siku nyingi, Wayahudi walipaga shauri pamoja kumuua. \v 24 Lakini mpango wao ukajulikana na Sauli. Wakamvizia mlangoni mchana na usiku wapate kumuua. \v 25 Lakini wanafunzi wake wakamchukua usiku na kumteremsha kupitia ukuta, kumshusha kwenye kikapu.