sw_act_text_ulb/09/17.txt

1 line
431 B
Plaintext

\v 17 Hivyo Anania akaondoka, akaingia mle nyumbani; Akiweka mikono yake juu yake, akasema, "Ndugu Sauli, Bwana Yesu, aliyekutokea katika njia ulipokuwa unakuja, amenituma ili upate kuona tena na ujazwe Roho Mtakatifu." \v 18 Mara moja kitu kama magamba kilianguka kutoka kwa macho ya Sauli, naye akapata kuona, akasimama, na kubatizwa; \v 19 akala chakula na kupata nguvu. Akakaa pamoja na wanafunzi huko Dameski kwa siku nyingi.