sw_act_text_ulb/09/05.txt

1 line
249 B
Plaintext

\v 5 Sauli akajibu, "U nani wewe Bwana? Bwana akasema, " Mimi ndiye Yesu ambaye unamtesa; \v 6 Lakini inuka, ingia mjini, nawe utaambiwa yakupasayo kutenda \v 7 Wale watu waliosafiri pamoja na Sauli wakasimama kimya, wakisikiliza sauti, wasione mtu.