sw_act_text_ulb/09/03.txt

1 line
206 B
Plaintext

\v 3 Alipokuwa akisafiri, ilitokea kwamba alipokaribia Dameski, ghafla ikamwangaza kotekote nuru kutoka mbinguni,' \v 4 naye akaanguka chini na akasikia sauti ikimwambia,"Sauli, Sauli, mbona wanitesa mimi?"