sw_act_text_ulb/09/01.txt

1 line
287 B
Plaintext

\c 9 \v 1 Lakini Sauli, bado akiendelea kuongea vitisho hata vya kifo kwa wanafunzi wa Bwana, alikwenda kwa kuhani mkuu \v 2 na kumwomba barua kwa ajili ya masinagogi huko Dameski, ili kwamba akimpata mtu aliye katika Njia ile, awe mwanaume au mwanamke, awafunge na kuwaleta Yerusalemu.