sw_act_text_ulb/08/39.txt

1 line
251 B
Plaintext

\v 39 Wakati walipotoka kwenye maji, Roho wa Bwana akamnyakua Filipo mbali; towashi hakumwona tena, akaenda njia yake akifurahia. \v 40 Lakini Filipo akatokea Azoto. Alipita katika mkoa ule na kuhubiri injili katika miji yote mpaka alipofika Kaisaria.