sw_act_text_ulb/08/25.txt

1 line
153 B
Plaintext

\v 25 Wakati Petro na Yohana walipokuwa wameshuhudia na kuhubiri neno la Bwana, walirudi Yerusalemu; wakihubiri injili katika vijiji vingi vya Wasamaria.