sw_act_text_ulb/08/18.txt

1 line
205 B
Plaintext

\v 18 Sasa, wakati Simoni alipoona kwamba Roho Mtakatifu ametolewa kupitia kuwekewa mikono na mitume; akawapa pesa, \v 19 Akasema, "Nipe haya mamlaka, ili kila nitakayemwekea mikono apokee Roho Mtakatifu."