sw_act_text_ulb/07/26.txt

1 line
358 B
Plaintext

\v 26 Siku iliyofuata (aliwatokea) baadhi ya Waisraeli waliokuwa wakigombana, akajaribu kuwapatanisha kusema, Enyi wanaume, Nyie ni ndugu; kwanini mnakoseana ninyi kwa ninyi? \v 27 Lakini aliyekuwa amemkosea Jira I yake akamsukumia mbali, na kusema .... Nani kakuteua kuwa mtawala na hakimu juu yetu? \v 28 Wewe unataka kuniua, kama ulivyomuua mmisri jana?"