sw_act_text_ulb/05/29.txt

6 lines
835 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 29 Lakini Petro na mitume wakajibu, "Lazima tumtii Mungu kuliko watu. \v 30 Mungu wa baba zetu alimfufua Yesu, mliyemuua, kwa kumtundika juu ya mti. \v 31 Mungu alimtukuza katika mkono wake wa kuume, na kumfanya kuwa Mkuu na mwokozi, kuwapa toba Israeli, na msamaha wa dhambi. \v 32 Sisi ni mashahidi wa mambo haya, na Roho Mtakatifu, ambaye Mungu amemtoa kwa wale wanaomtii."
=======
\v 29 Lakini Petro na mitume wakajibu, "Lazima tumtii Mungu kuliko watu. \v 30 Mungu wa baba zetu alimfufua Yesu, mliyemuua kwa kumtundika juu ya mti. \v 31 Mungu alimwinua juu katika mkono wake wa kuume, na kumfanya kuwa Mkuu na Mwokozi, kutoa toba kwa Israeli, na msamaha wa dhambi. \v 32 Sisi ni mashahidi wa mambo haya, na Roho Mtakatifu, ambaye Mungu amemtoa kwa wale wanaomtii."
>>>>>>> 641795131ed10711930bea4f72ce83f81dc70d3c