sw_act_text_ulb/05/09.txt

1 line
427 B
Plaintext

\v 9 Kisha Petro akamwambia, "Inakuwaje kwamba mmekubaliana kwa pamoja kumjaribu Roho wa Bwana? Angalia, miguu ya wale waliomzika mme wako iko mlangoni, na watakubeba na kukupeleka nje." \v 10 Ghafla akaanguka miguuni pa Petro, akakata roho, na wale vijana wakaja ndani wakamkuta ameshakufa. Wakambeba kumpeleka nje, na kumzika karibu na mmewe. \v 11 Hofu kubwa ikaja juu ya kanisa zima, na juu ya wote walioyasikia mambo haya.