sw_act_text_ulb/05/03.txt

6 lines
1.1 KiB
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 3 Lakini Petro akasema, "Anania, kwa nini shetani ameujaza moyo wako kusema uongo kwa Roho Mtakatifu na kuficha sehemu ya mali ya shamba? \v 4 Wakati lilipokuwa halijauzwa, halikuwa ni mali yako? Na baada ya kuuzwa, halikuwa chini ya uamuzi wako? Ilikuwaje uwaze jambo hili moyoni mwako? Hujawadanganya wanadamu, bali umemdanganya Mungu." \v 5 Kwa kusikia maneno haya, Anania alidondoka chini na akakata roho. Na hofu kubwa iliwajia wote waliolisikia hili. \v 6 Vijana wakaja mbele na wakamfunga sanda, na kumpeleka nje na kumzika.
=======
\v 3 Lakini Petro akasema, "Anania, kwa nini shetani ameujaza moyo wako kusema uongo kwa Roho Mtakatifu na kuficha sehemu ya mali ya shamba? \v 4 Wakati lilipokuwa halijauzwa, halikuwa ni mali yako? Na baada ya kuuzwa, halikuwa chini ya uamuzi wako? Kwa nini uliweka kwa moyo wako kufanya hivi? Hujawadanganya wanadamu, bali umemdanganya Mungu." \v 5 Aliposikia maneno haya, Anania alianguka chini na akakata roho, na hofu kubwa iliwajia wote waliolisikia hili. \v 6 Vijana wakaja mbele na kumfunga, na kumpeleka nje na kumzika.
>>>>>>> 641795131ed10711930bea4f72ce83f81dc70d3c