sw_act_text_ulb/03/15.txt

6 lines
704 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 15 Ninyi mlimuua Mwanzilishi wa uzima, ambaye Mungu alimfufua kutoka kwa wafu-- sisi ni mashahidi wa hili. \v 16 Kwa msingi imani katika jina lake, jina lake limemfanya mtu huyu, ambaye mnamwona na kumjua, alifanywa kuwa na nguvu. Imani ambayo nikupitia kwa Yesu imempa yeye afya hii kamilifu, mbele ya uwepowenu ninyi nyote.
=======
\v 15 Ninyi mlimuua Mwazilishi wa uzima, ambaye Mungu alimfufua kutoka kwa wafu - Na sisi ni mashahidi wa hili. \v 16 Sasa, kwa imani katika jina lake, mtu huyu ambaye mnamwona na kumfahamu, alifanywa kuwa na nguvu. Ile Imani ambayo kupitia kwa Yesu imempa yeye afya hii kamilifu, mbele yenu ninyi nyote.
>>>>>>> 641795131ed10711930bea4f72ce83f81dc70d3c