sw_act_text_ulb/03/01.txt

6 lines
861 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\c 3 \v 1 Sasa Peter na Yohana walikuwa wanaelekea katika hekalu wakati wa maombi, saa tisa. \v 2 Mtu fulani, kiwete tangu kuzaliwa, alikuwa akibebwa kila siku na walikuwa wakimuweka pale kila siku kwenye mlango wa hekalu uitwao Mzuri. Walikuwa wanamuweka pale kila siku ili aweze kuomba sadaka kutoka kwa watu waliokuwa wakielekea hekaluni. \v 3 Alipowaona Petro na Yohana wanakaribia kuingia hekaluni, aliomba sadaka.
=======
\c 3 \v 1 Sasa Peter na Yohana walikuwa wanaelekea katika hekalu wakati wa maombi, saa tisa. \v 2 Sasa mtu fulani kiwete tangu kuzaliwa, alikuwa akibebwa kila siku na alikuwa akilazwa katika mlango wa hekalu uitwao Mzuri, ili aweze kuomba sadaka kutoka kwa watu waliokuwa wakielekea hekaluni. \v 3 Alipowaona Petro na Yohana wanakaribia kuingia hekaluni, aliomba sadaka.
>>>>>>> 641795131ed10711930bea4f72ce83f81dc70d3c