sw_act_text_ulb/02/40.txt

1 line
319 B
Plaintext

\v 40 Kwa maneno mengine mengi alishuhudia na kuwahimiza; akisema, "Jiokoeni mtoke katika kizazi hiki kiovu." \v 41 Ndipo wakayapokea maneno yake na wakabatizwa, hapo wakaongezeka katika siku hiyo kama nafsi elfu tatu. \v 42 Wakaendelea katika mafundisho ya mitume na ushirikiano, katika kuumega mkate na katika maombi.