sw_act_text_ulb/02/37.txt

6 lines
904 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 37 Sasa waliposikia hivyo, wakachomwa katika mioyo yao, wakamwambia Petro na mitume wengine, "Ndugu, tufanyeje?" \v 38 Na Petro akawaambia, "Tubuni na Mbatizwe, kila mmoja wenu, katika jina la Yesu Kristo kwa ajili ya msamaha wa dhambi zenu, na mtapokea zawadi ya Roho Mtakatifu. \v 39 Kwakua ahadi ni kwenu na kwa watoto wenu na kwa wale wote walioko mbali, watu wengi kwa kadri Bwana Mungu wetu atakavyowaita."
=======
\v 37 Sasa waliposikia hivyo, wakachomwa katika mioyo yao, wakamwambia Petro na mitume wengine, "Ndugu, tufanyeje?" \v 38 Na Petro akawaambia, "Tubuni na Mbatizwe, kila mmoja wenu, katika jina la Yesu Kristo kwa ajili ya msamaha wa dhambi zenu, na mtapokea zawadi ya Roho Mtakatifu. \v 39 Kwa kuwa ahadi ni kwa anjili yenu na watoto wenu na kwa wale wote walioko mbali, watu wengi ambao Bwana Mungu wetu atakaowaita."
>>>>>>> 641795131ed10711930bea4f72ce83f81dc70d3c