sw_act_text_ulb/02/29.txt

6 lines
920 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 29 Ndugu, ninaweza kuzungumza kwenu kwa ujasiri kuhusu baba yetu Daudi,kwamba alikufa na akazikwa, na kaburi lake liko pamoja nasi hata hivi leo. \v 30 Hivyo, alikuwa nabii na alijua kuwa Mungu alishaapa kwa kiapo kwake, kwamba ataweka mmoja katika uzao wake kwenye kiti chake cha enzi. \v 31 Aliona ambachokingetokea baadae, na akasema kuhusu ufufuo wa Kristo, 'kwamba alikuwa hakuachwa kuzimu, wala mwili wake haukuoza.'
=======
\v 29 Ndugu, ninaweza kuzungumza kwenu kwa ujasiri kuhusu baba yetu Daudi, yeye alikufa na akazikwa, na kaburi lake liko pamoja nasi hata hivi leo. \v 30 Hivyo, alikuwa nabii na alijua kuwa Mungu alishaapa kwa kiapo kwake, kwamba ataweka mmoja katika uzao wake kwenye kiti chake cha enzi. \v 31 Aliona ambalo lingetokea baadaye, na akasema kuhusu ufufuo wa Kristo, 'wala alikuwa hakuachwa kuzimu, wala mwili wake haukuoza.'
>>>>>>> 641795131ed10711930bea4f72ce83f81dc70d3c