sw_act_text_ulb/02/22.txt

6 lines
1.0 KiB
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 22 Watu wa Israeli, sikieni maneno haya: Yesu wa Nazareti, mwanadamu aliyeithinishwa na Mungu kwenu kwa matendo ya uweza na maajabu, na ishara ambazo Mungu alitenda kupitia Yeye katikati yenu, kama ninyi wenyewe mnavyojua- \v 23 Kwa sababu ya mpango uliokusudiwa tangu mwanzo, na maarifa ya Mungu, huyu mtu mlipewa, nanyi, kwa mikono ya watu wahalifu, mkamuua kwa kumsulubisha msalabani. \v 24 Lakini Mungu alimwinua, akauondoa na uchungu wa mauti kwake, kwasababu haikuwezekana kwake kumilikiwa na huo.
=======
\v 22 Watu wa Israeli, sikieni maneno haya: Yesu wa Nazareti mwanadamu aliyethibitishwa na Mungu kwenu kwa matendo ya uweza na maajabu, na ishara ambazo Mungu kupitia Yeye katikati yenu, kama ninyi wenyewe mnavyojua- \v 23 Kwa sababu ya mpango uliokusudiwa tangu mwanzo, na maarifa ya Mungu, alitolewa, na ninyi, kwa mikono ya watu wahalifu,walimuua kwa kumsulubisha, \v 24 ambaye Mungu alimwinua, akauondoa uchungu wa mauti kwake, kwasababu haikuwezekana kwake kumilikiwa na huo.
>>>>>>> 641795131ed10711930bea4f72ce83f81dc70d3c