sw_act_text_ulb/02/16.txt

1 line
255 B
Plaintext

\v 16 Lakini hili lilikuwa limesemwa kupitia kwa nabii Yoeli: \v 17 Itakuwa katika siku za mwisho; Mungu asema, nitamwaga Roho wangu kwa watu wote wenye mwili. Wana wenu na binti zenu watatoa unabii, vijana wenu wataona maono, na wazee wenu wataota ndoto.