sw_act_text_ulb/02/05.txt

6 lines
757 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 5 Sasa walikuwapo wayahudi waliokuwa wanaishi Yerusalemu, wacha Mungu, kutoka kila taifa chini ya mbingu. \v 6 Ngurumo hizi ziliposikika, kundi la watu likaja pamoja wakiwa na wasiwasi kwasababu kila mtu aliwasikia wakiongea kwa lugha yake mwenyewe. \v 7 waliduwaa na kushangazwa, wao walisema, "Kweli, hawa wote wanaoongea siyo Wagalilaya?
=======
\v 5 Sasa walikuwapo wayahudi waliokuwa wanaishi Yerusalemu, wacha Mungu, kutoka kila taifa chini ya mbingu. \v 6 Sauti hizi ziliposikika, kundi la watu likaja pamoja wakiwa na wasiwasi kwa sababu kila mtu aliwasikia wakiongea kwa lugha yake mwenyewe. \v 7 waliduwaa na kushangazwa; wao wakasema, "Kweli, hawa wote wanaoongea siyo Wagalilaya?
>>>>>>> 641795131ed10711930bea4f72ce83f81dc70d3c