sw_act_text_ulb/01/12.txt

6 lines
1007 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 12 Ndipo wakarudi Yerusalemu kutoka kwenye mlima wa mizeituni, ambao uko karibu na Yerusalemu, kiasi cha umbali wa kutembea siku ya Sabato. \v 13 Walipofika walikwenda ghorofani walikokuwa wakikaa. Nao ni Petro, Yohana, Yakobo, Andrea, Filipo, Thomaso, Batholomayo, Mathayo, Yakobo Mwana wa Alfayo, Simoni Zelote na Yuda Mwana wa Yakobo. \v 14 Wote walikuwa wamejitolea kwa nia moja kuomba, miongoni mwao walikuwemo wanawake, na Mariamu Mama yake Yesu, na kaka zake.
=======
\v 12 Ndipo wakarudi Yerusalemu kutoka kwenye mlima wa Mizeituni, ambao uko karibu na Yerusalemu, mwendo wa kilomita moja. \v 13 Walipofika walikwenda ghorofani walikokuwa wakikaa. Nao ni Petro, Yohana, Yakobo, Andrea, Filipo, Thomaso, Batholomayo, Mathayo, Yakobo Mwana wa Alfayo, Simoni Zelote na Yuda Mwana wa Yakobo. \v 14 Wote walijitolea kwa umoja, kwa kusudi la kuendelea katika maombi. Pamoja na hao walikuwepo wanawake, Mariamu Mama yake Yesu, na kaka zake.
>>>>>>> 641795131ed10711930bea4f72ce83f81dc70d3c