sw_act_text_ulb/09/05.txt

1 line
243 B
Plaintext

\v 5 Sauli akajibu, U nani wewe Bwana? Bwana akasema, " Mimi ndiye Yesu unayeniudhi; \v 6 Lakini inuka, ingia mjini, nawe utaambiwa yakupasayo kutenda \v 7 Wale watu waliosafiri pamoja na Sauli wakatulia kimya, wakisikiliza sauti, wasione mtu.