1 line
333 B
Plaintext
1 line
333 B
Plaintext
\v 9 Hivyo Petro akamfuata Malaika na akatoka nje. Hakuamini kilichofanywa na malaika kama ni cha kweli. Alidhani anaona maono. \v 10 Baada ya kupita lindo la kwanza na la pili, wakafika kwenye lango la chuma la kuingilia kwenda mjini, likafunguka lenyewe kwa ajili yao. Wakatoka nje na wakashuka kwenye mtaa, mara Malaika akamwacha. |