sw_act_text_ulb/07/11.txt

1 line
316 B
Plaintext

\v 11 Basi kukawa na njaa na dhiki kuu katika nchi ya Misri na Kanani, na baba zetu hawakuweza kupata chakula. \v 12 Lakini Yakobo aliposikia kwamba kuna nafaka Misri, aliwatuma baba zetu kwa safari ya kwanza. \v 13 Kwa safari ya pili Yusufu alijitambulisha kwa kaka zake, na familia ya Yusufu ikajulikana kwa Farao.